Je, wewe ni Mwekezaji aliyefanikiwa? Je, unataka kuwa na biashara yako mwenyewe? Je, wewe ni a jenti mzuri anayefanikiwa na anayetaka kujenga kampuni yake? Kama jibu lako ni ndiyo, basi ofisi ya RE/MAX inakusubiri.
Sababu 10 za mbona uwekeze katika ofisi ya RE/MAX:
1. Nguvu ya jina la RE/MAX: siku ambayo utajiunga na RE/MAX, kila mtu atajua jina lako. Jiunge na kapuni nambari # 1 duniani katika maswala ya uuzaji nyumba na mashamba na uwe katika mtandao mkubwa Zaidi duniani wa kuuza nyumba.
2. Kiongozi duniani kote katika uuzaji nyumba na mashamba: Hakuna mtu katika dunia anayeuza nyumba na mashamba kuliko RE/MAX ! Mfano wa RE/MAX hufaa kwa maajenti wanaozalisha biashara vyema, na wale ambao wanatamani kufuzu. Katika RE/MAX, wataalamu hufanya kazi pamoja na wataalamu wengine na kujenga nishati ya juu na mazingira ya ushindi katika ofisi.
3. Teknolojia ya Kisasa: RE/MAX hutumia teknolojia ya kisasa na ya juu, yenye zana na mifumo iliyoundwa ili kuboresha biashara yako. Hii hapa ni mifano/sampuli ya faida ya teknolojia ambayo huja na umiliki wa ofisi ya RE/MAX :
RE/MAX MAINSTREET ® - hili ndio lango la kuingia RE/MAX University
RE/MAX University - ambapo habari ziko kuhusu maajenti na wamiliki
RE/MAX Referral System – ambapo ammajenti hupatiana biashara
global.remax.com – mkusanyiko wa nyumba zote duniani. Zako zitakuwa pia
remax.com – tovuti ya RE/MAX LLC, yaani kituo kikuu cha RE/MAX
iConnect Web Application – mahali ambapo maajenti wataweka nyumba tovutini
4. Mitandao na Rufaa: maajenti wa RE/MAX hupata mtandao wa rufaa kutoka maajenti zaidi ya 93,000, katika nchi zaidi ya 90 duniani kote. Maelfu ya maajenti na wamiliki hukusanya kila mwaka katika kongamano la RE/MAX LLC na mikutano mingine ya kinyumbani. Kongamano hizi za kila mwaka hutoa mafunzo , huwapa motisha na zimebuniwa kwa lengo la maajenti wa RE/MAX.
5. Mafunzo na Elimu ya papo hapo: Kupitia RE/MAX University, unapokea mafunzo mbalimbali ya kuthibiti ofisi yako na maajenti. Kuna kanda xa video, vitabu aidi ya 1000 ambazo unazipata masaa ishirini nan ne kila siku. Unaweza pia fanya masomo na kufuzu zaidi hapa.
6. Utangazaji wa Kitaifa: RE/MAX inajivunia kutambulik katika sekta ya uuzaji nyumba na mashamba kupitia matangazo kabambe duniani kote.
7. Kuajiri maajenti na Usaidizi kwa ofisi yako: Kuanzia siku ya kwanza , maajenti na wamiliki wa RE/MAX hufurahia zana maalum za kikazi. Iwapo utahitaji msaada katika biashara yako, mtaalamu wa Ofisi kutoka RE/MAX atakuwa kwenye simu au barua pepe. Katika RE/MAX, wewe ni mteja , na mafanikio yetu yanaambatana na yako. Ndio maana tupo na tutazidi kuwa hapa kwa ajili yako !!
8. Habari za mauzo: Katika RE / MAX, habari za mauzo yaliyomo huletwa katika ofisi yako na kwa maajenti wako. Hadi sasa RE/MaX imepitisha kiwango cha rufaa Milioni kumi. Na ada ya rufaa hizi kupewa maajenti wa RE/MAX bure kupitia kwa Leadstreet ®.
9. Kupanua Biashara: RE/MAX inatoa fursa mbalimbali za kuboresha biashara yako. RE/MAX inatoa zana za mafunzo na zana za kukusaidia kutamba katika sehemu zingine zenye bishara, kwa mfano, RE/MAX inapeana mkusanyiko wa zana muhimu za za kukusaidia kukua kibiashara.
10. Kwa sababu bado unaweza !: Sasa ni wakati wako wa kuwa ndani ya mtandao wa RE/MAX ndiposa upate fursa zilizomo za kukua.Fanya hatua bora zaidi ambayo ushawai taka kufanya! Na uachie RE/MAX ikusaidie kufikia malengo yako binafsi na ya kitaaluma.